Waziri wa Maliasili na utalii Dk Hamisi Kigwangala amepata ajali.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisa Kigwangalla amepata ajali akitokea Arusha kabla ya Magugu leo Asubuhi.Dk Kigwangalla aliyekuwa akisafiri kutokea Arusha kwenda Dododma amepata ajali leo majira ya saa 12:15 Asubuhi katikakati ya vijiji vya Mdolii na Minjingu Wilaya ya Babati Mkoani Manyari baada ya gari lake kupinduka na kusababisha kifo cha Afisa Habari …

Continue reading Waziri wa Maliasili na utalii Dk Hamisi Kigwangala amepata ajali.

Mh Raisi John Pombe Magufuli ampokea waziri wa Maliasili na Utalii Mh Hamis Kigwangalla Dar es salam.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Joseph Pombe Magufuli leo jioni ya tarehe 04 Agost 2018 ameungana na viongozi wa Maliasili na Utalii na wizara ya Afya, maendeleo na Jamii Jinsia na Watoto, kumpokea waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye amesafirishwa na Ndege kutokea Mkoani Arusha ambapo ndipo alipopata …

Continue reading Mh Raisi John Pombe Magufuli ampokea waziri wa Maliasili na Utalii Mh Hamis Kigwangalla Dar es salam.

Rais Magufuli alivyomuapisha David Kafulila kuwa Katibu Tawala mpya Songwe

Siku ya leo Mh Raisi John Pombe Magufuli ameweza kuwaapisha baadhi ya viongozi alioweza kuwateuwa wiki iliyopita na kati ya watu walioapishwa mmoja wapo ni David Kafulila ambaye aliteuliwa kuwa Katibu tawala mpya Songwe. Bonyeza video hiyo hapo chini kujionea Raisi JPM alivyomuapisha Kiongozi huyo. https://www.youtube.com/watch?v=9XjxbsQIi6U

Alikiba afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu jokate kuchaguliwa mkuu wa wilaya.

Msanii wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya mpenzi wake wa zamani Jokate mwagelo kuchaguliwa mkuu wa wilaya ya kisarawe. Alikiba amefunguka hayo baada ya kuhojiwa na Millardayo katika harusini ya dada yake Zabibu Kiba. Alikiba amedai kuwa anamuombea Mungu Amsaidie Joketi katika Ukuu wa wilaya wake huo na …

Continue reading Alikiba afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu jokate kuchaguliwa mkuu wa wilaya.

Kimenuka Upya!! Familia ya Diamond imekataa kuhudhuria Birthday ya Mtoto wa Hamisa.

Wakati Zari na Diamond Platnumz wakiwa katika maandalizi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao Princess Tiffa, upande mwingine familia ya msanii huyo imekata ombi la mwanadada Hamissa Mobetto ambaye ni mzazi mweza wa Diamond Platnumz wa kuhudhuria Birthday ya mtoto wake Prince Dylan ambayo inategemea kufanyika Tar Saba mwezi huu wa nane. Kwa …

Continue reading Kimenuka Upya!! Familia ya Diamond imekataa kuhudhuria Birthday ya Mtoto wa Hamisa.

Alichokipost Wema Sepetu baada ya Joketi kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Baada ya mwanadada Jokate Mwagelo kuweza kuchaguliwa na Raisi John Pombe Magufuli kuwa Mkuu wa WIlaya ya Kisarawe Mashabiki walianza kumponda mwanadada Wema Sepetu na kudai kuwa mwadada huyo amechukizwa na hajafurahishwa na kitendo cha Jokate kuchaguliwa kuwa mkuu wa Wilaya, Lakini Wema Sepetu aliamua kuwafunga midomo mashabiki hao na Kupost kupitia account yake ya …

Continue reading Alichokipost Wema Sepetu baada ya Joketi kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Diamond Platnumz kusafiri na watanzania 30 kwenda kwenye Birthday ya Princess Tiffa.

Ikiwa mtoto wa msanii Diamond Platnumz Latiffah Naseeb almaharufu kwa jina la Princess Tiffa akiwa anatimiza miaka mitatu tokea azaliwe msanii diamond platnumz ameweza kutangaza nafasi ya bahati kwa watanzania 30 ambao wataenda kusherehekea Birth Day ya mtoto huyo nchini South Africa. Kupiti ukurasa wake wa Instagram msanii Diamond Platnumz ameandika maneno yafuatayo " Watu …

Continue reading Diamond Platnumz kusafiri na watanzania 30 kwenda kwenye Birthday ya Princess Tiffa.

Muna love aweka wazi kuhusu Baba halisi wa mtoto wake.

Siku ya leo mama mzazi wa marehemu patrick peter ambaye alifariki wiki iliyopita jijini Nairobi amezugumza na waandishi wa habari na kuweza kutoa majibu kuhusu nani ndio baba halisi wa mtoto wake huyo marehemu Patrick. Muna love amedai kuwa baba halali wa mtoto wake ni Caston Dickson kama alivyosema mwanzo na aliendelea na kudai kuwa …

Continue reading Muna love aweka wazi kuhusu Baba halisi wa mtoto wake.

Tessy Chocolate afunguka kuhusu kuachana na Aslay.

Mama mtoto wa msanii Aslay wa Bongo Fleva Tessy Chocolate amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kufa kwa penzi lake na Baba mtoto wake huyo. Tessy amedai kuwa ni kweli hayupo tena kimapenzi na msanii Aslay na kama ni kuolewa na Aslay kama ipo ipo tu. Vilevile Tessy Chocolate alikataa kuzungumzia kuhusu tetesi za msanii …

Continue reading Tessy Chocolate afunguka kuhusu kuachana na Aslay.