Hatimaye Mabilioni ya Dk Shika yawasili Tanzania.

Baada ya kuweza kujipatia umaarufu kupitia mnada wa Yono, Kampuni ambayo ilikuwa ikipiga mnada Nyumba za Mfanyabiashara Lugumu Dk Luis Shika alidai kuwa yeye ni Tajiri na Mmiliki wa kampuni ya Lensfort ambayo wanataka wailete na Tanzania na Baada ya hapo alishindwa kulipa asilimia 25% ya pesa baada ya kushinda nyumba zote tatu. Lakini hii leo amethibitisha na kudai kuwa kwa sasa anataka aanze kufuatilia maswala ya kampuni yake kuweza kuingia Tanzania na Kudai kuwa kwa sasa anauwezo pia wa kununua nyumba za Lugumi kwani tayari ameshapata Pesa zake hizo ambazo zilikuwepo njee ya Nchi. Vile vile hii leo ameweza kutoa msaada wa Dola Millioni Mija za kimarekani kwa wanafunzi wote ambao hawana uwezo lakini wana uelewa darasani.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s