Hatimaye Dk Shika kununua Nyumba za Lugumi.

Baada ya kupata umaarufu kupitia Mnada wa Nyumba a mfanya biashara Lugumi na Baadae kushindwa kuweza kulipa kiasi cha asilimia ishirini na tano Baada ya kudai kuwa Pesa zake zipo njee ya nchi hatimaye Dk Shika afunguka tena. Baada ya nyumba hizo kufanyiwa mnada mwingine Jana na nyumba hizo kukosa mteja Dk shika amedai kuwa Anashukuru Mungu kuwa Nyumba hizo zimekosa mnunuzi na hiyo imekuwa fursa yake kuweza kuzi nunua nyumba hizo wiki ijayo. Dk shika pia amethibitisha kupokea Mabilioni ya Dollar zake kutoka Urusi na kudai kuwa kwa sasa zipo kwenye mpango wa kutumwa Lakini mpaka wiki ijayo atakuwa ameshapata Pesa zake.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s