Hii Ndio Sababu ya Wema Sepetu kuhamia CCM.

Hii leo siku ya Tar 1.12. 2016 mwanadada Wema Sepetu amekihama rasmi chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) na kurudi katika chama cha Mapinduzi ccm. Uamuzi huo ambao umefanyika leo na Mwanadada wema sepetu umekuwa na gumzo kubwa nyuma yake huku sababu kadha zikihusishwa na yeye kuhama na kurudi CCM.

Siku chache zilizoweza kupita rafiki wake wa karibu Ammbaye anajulikana kwa jina la mange kimambi alitoa siri hiyo na kudai kuwa mwanadada Wema Sepetu yupo njiani kurudi CCM na ni baada ya Wema Sepetu kupewa notice za kutakiwa kubomolewa kwa nyumba yake ambayo anaishi yeye na familia yake. Licha ya hivyo alidai kuwa Nitice hizo za kubomolewa nyumba yake zimetumwa ili kumpa kitisho aweze kurudi tena katika Chama hichpo cha Mapinduzi la sivyo Nyumba yake itabomolewa. Alidai kuwa baada ya kupewa notice hizo mama mzazi wa wema sepetu aliamua kumshawishi mwanae huyo waweze kurudi tene katikaa chama cha mapinduzi ili kuokoa Nyumba yao hiyo

 

 

IMG_20171201_201830[1]

Wema Sepetu akiwa katika sare za CCM.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s