Kauli ya Humphrey Pole Pole kwa Wema Sepetu

Baada ya wanadada wema sepetu kukihama chama cha mapinduzi na kuhami Chadema, Kada wa Chama hicho cha Mapinduzi Mh Humphrey Pole Pole amefunguka baadhi ya maneno kupitia ukurasa wake wa Instagram huku maneno hayo yakionekana kama kashfa kwa Wema Sepetu.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Pole Pole ameandika maneno yafuatayo

Nimesikia habari mitandaoni napenda kuweka rekodi hii sawa, Chama chetu sio dala dala ambayo mtu anaweza panda na kushuka wakati wowote apendao. Chama chetu kina misingi, Imani , masharti ya uanachama amabayo moja inasema Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM.  Ni kheri akabaki huko huko ama akaanzia kule ambako alichukua kadi yetu.   Hayo ni baadhi ya majibu ya Pole Pole baaada ya wema Sepetu kurudi CCM kutokea Chadema.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s