Faiza Ally azungumzia picha zake za utupu akijifungua.

Baada ya kuenea kwa picha ambozo zilikua zikimuonyesha mwanadada Faiza Ally akiwa Labor (chumba cha kujifungulia ) ambazo picha hizo zilisambazwa na faiza ally mwenyewe Hatimaye amejitokeza na kuongelea kuhusu Picha hizo. Faiza Ally ambaye aliweza kuhojiwa na kituo cha habari alidai kuwa Yeye haoni kama kuna tatizo la kupiga picha ukiwa unajifungua na kuzipost mtandaoni kwani hakuna asiyejua kwamba kila mtu ana zaa. Alisema kuwa watu wake wote wa karibu wanamjua vizuri kuwa yeye hana mambo ya kuficha ficha na ndio maana hamna aliyemuuliza kitu baada ya yeye kuweza kupost picha zile, Aliongezea na kusema kuwa picha ile iliyokuwa ikimuonyesha akiwa Labor alipigwa na mama yake mzazi na kwake ilikuwa ni kitu cha kawaida sana.

 

Interview ya Faiza Ally alivyoongea kuhusu picha za utupu za Kujifungua.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s