Hatimaye Babu tale Atangaza Ndoa ya Diamond na Zari.

Meneja wa msanii Diamond Platnumz na Kundi zima la WCB babu tale amefunguka na kudai kuwa baada ya wiki mbili kutokea leo tar 5 mwezi wa 12 Msanii Diamond Platnumz anatarajia kufunga ndoa na Mpenzi wake ambaye ni Zari the boss lady.

Babu tale amezungumza hayo katika harusi ya Dj wa Diamond Platnumz anayejulikana kwa jina la Rommy Jones ambaye ameweza kufunga ndoa na mpenzi wake wiki hii. Katika sherehe hiyo ya mwisho ya harusi hiyo Meneja huyo wa WCB alipewa nafasi ya kuzungumza na kumpongeza Rommy Jones na alidai kuwa baada ya wiki mbili diamond na Zari the boss lady nao watafunga ndoa.

 

Jionee Video hiyo ya Babu tale akizungumzia ndoa ya Diamond na Zari.

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s