Majibu ya Makonda kwa Wema Sepetu baada ya Wema kumuandikia ujumbe.

IMG_20171213_001550[1]

 

Baada ya mwanadada Wema Sepetu kuweza kurudi upya katika Chama Cha Mapinduzi na siku ya jana kuweza kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda na Kisha Wema Sepetu kuandika katika ukurasa wake wa Instagram maneno yafuatayo ” I never knew you well until i hated you, now that i met you i thank god to have found you. Every Dark Cloud possesses a silver Lining” akimaanisha kuwa Sikuwahi kukujua mpaka nilivyokuchukia, na kwa sasa nimekutana na wewe ninamshukuru mingu kwa kukutana na wewe lakini baada ya Wema Sepetu kuweza kuandika maneno hayo hatimaye Mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es salaam alimjibu kwa maneno yafuatayo  “Serikali ni sawa na mzazi ambaye siku zote huwaza mema kwa watu wake. Umechagua fungu jema karibu nyumbani tujenge nchi imara na wala sio upinzani imara kwani nchi kwanza vyama baadae.” Hayo ndio maneno ya Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda kwa Wema Sepetu.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s