Maneno ya Zari kwa Ivan Don katika siku ya kuzaliwa kwake.

Ni miezi saba imepita tokea aliyekuwa mume wa mwanadada Zari the boss lady, Ivan don kuweza kufariki dunia. Katika siku ya leo tar 12.12 Ivan don alikua akisheherekea siku yake ya kuzaliwa na kati ya watu walioweza ku mu wish ni pamoja na mzazi mwenza wake huyo Zari the Boss lady. Kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameandika

“HAPPY BDAY DON…GONE BUT WILL NEVER BE FORGOTTEN. YOUR MISSED. ITS NOT THE SAME, KIDS MISS YOU SO MUCH.WE DO PRAY FOR YOU EVERY SINGLE DAY. MAY YOU CONTINUE RESTING IN PEACE”

bbbby

Akiwa anamaanisha “Heri ya kuzaliwa Don…umeenda lakini hautakaa usahaulike. Tume kukumbuka. Hakuko kama kulivyokuwa, watoto wamekukumbuka mno. Tunakuombea kila siku. Uendelee kupumzika kwa Amani.”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s