Raisi Magufuli ampa onyo Kali Diamond Platnumz kwa kosa hili.

Rais wa Tanzania Mh Dk John Pombe Magufuli amempa onyo msanii diamond platnumz na wasanii wengine ambao wanatumia wasichana au video queen wanaova nusu uchi katika video zao. Raisi Magufuli amedai kwamba hatataka kuona wasichana kwenye video za nyimbo wakiwa wamevaa nusu utupu kwani wasanji hawatapata madhara bali madhara watapata Mashabiki ambao wanapenda kazi za wasanii hao.

Raisi Magufuli ametaka kuanzia sasa kuwepo na sheria na adhabu kali kwa msanii au mwanadada yeyote atakayeonekana nusu uchi katika video ya Nyimbo.

 

 

 

InShot_20171212_232702592[1]

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s