Baada ya Kuachana na Mpenzi wake, RayVanny amtambulisha mpenzi wake mpya wa kizungu.

Baada ya kuachana na mama mtoto wake Msanii rayvanny amemtambulisha Mpenzi wake mpya anaejulikana kwa jina la Emilee Miller ambaye ni raia wa Marekani. Mwanadada huyo ambae ni Video queen na Msanii kutokea pande za los angles ametambulishwa rasmi na msanii Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram.

Katika picha ya kwanza msanii Rayvanny alipost na kuandika maneno yafuatayo Ni kama nyumba vile ukihisi ni yako kodi itakukumbusha umepanga #playboy

 

                             IMG_20171215_135900[1]

Na katika post nyingine alipost picha ya mwanadada huyo na kisha kumtag jina lake kama unavyoona hapo chini.

 

 

vv

IMG_20171215_135847[1]

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s