Huyu ndie Mume Mpya wa Mama Diamond aliefunga nae Ndoa.

Baada ya kuzaga kwa tetesi nyingi huku zikiwa hazina ukweli kuhusu Mama mzazi wa Diamond Platnumz kufunga ndoa na Mume wake mpya ambae bado wengi wetu tulikuwa hatujamfahamu. Lakini Mama Diamond ameibuka na kudai kuwa ni kweli ameweza kufunga ndoa yeye na mume wake huyo ambaye kwa sasa anajulikana kama Baba Dangote, Kupitia ukurasa wake wa instagram mumewe huyo ameweza kupost Picha za Yeye pamoja na Mke wake huyo wakiwa honey moon kula fungate baada ya kuweza kufunga ndoa na Bi Sandra.

 

IMG_20171216_142109[1]

Picha hiyo ndiyo aluiyo post Mume huyo Mpya wa Bi Sandra ikiwaonyesha wakiwa kwenye ndege wakielekea South Africa kula Honey Moon yao yeye pamoja na Mama Dangote.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s