Nyimbo ya Diamond na Rick ross yaendelea kuvunja rekodi Ulaya

Siku kadhaa baada ya msanii Diamond Platnumz kuweza kuachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la Waka Waka aliyomshirikisha staa wa Marekani Rick ross, Msanii Diamond Platnumz ameendelea kupata mafanikio makubwa baada ya ngoma hiyo kuendelea kutamba hasa nchini marekani.

Katika mtandao wa YouTube kwa nchi ya marekani nyimbo hiyo imekuwa popular na ni kati ya Nyimbo inayotazamwa zaidi na wamarekani kupitia mtandao huo wa YouTube. Pia Television mbali mbali za Marekani zimeendelea kusupport kazi hiyo ya msanii Diamond Platnumz na kuifanya iendelee kuwa miongoni mwa nyimbo zinazopendwa zaidi kutoka Africa kuwahi kufunika zaidi Barani America.

Nyimbo hiyo pia imeendelea kufunika chati mbali mbali barani Africa na Pia katika Platform mbali mbali kama vile Spotfy , i tunes na Youtube ikiwa kama nyimbo inayo sikilizwa na kutazamwa kwa wingi zaidi.IMG_20171212_220445[1]

 

IMG_20171216_150652[1]

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s