Zari Kuchuana na Hamisa Mobeto Live kwenye Zari all white party day.

Mahasimu wa muda mrefu ambao pia ni watu maarufu east africa na africa kwa ujumla nawaongelea Zari Hassan pamoja na Hamissa Mobeto watachuana vikali siku ya Zari all white party. Kwa Upande wa hamisa ameweza kupata dili la kuwa Host katika party inayojulikana Kama Gal power party itakayofanyika club Play huko Nchini Uganda.

 

Katika siku ambayo itafanyika Party hiyo ya Gal Power pia itafanyika Party ambayo huwa inafanywa kila mwaka na Mwanadada Zari the Boss lady na huku ikiwa inatarajia kufanyika Club Gurvon huko huko Nairobi.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s