Zari Ampa maneno mazito Hamissa Mobeto baada ya Zari all white party kuisha.

Siku ya Jana Mahasimu wawili ambao wote ni wazazi wenza wa diamond platnumz nawazungumzia Zari the Boss Lady pamoja na Hamissa Mobetto waliweza kufanya show kubwa huko Ugnada, Zari alifanya party yake inayojulikana kama Zari All White Party ambayo ilifanyika Club Gurvon na kuhudhuriwa na mamia ya watu Lakini pia Hamissa Mobetto aliweza kufanya party iliyojulikana kama Gal Power ambayo iliweza kufanyika katika Club maarufu huko kampala inayojulikana kama Club Play na kuhudhuriwa na mamia ya watu.

 

Lakini baada tu ya kuisha kwa show hizo kuweza kumalizika huku kila mmoja wao akijitamba kwa kuweza kufanya show kubwa Zari the boss Aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Snapchat wenye maneno yafuatayo ”

”There is  difference between a mosque and an elephant ….Blessing on Blessings. Thank you God.

Na baada ya mda Hamissa mobetto nae akajibu kwa Maneno yafuatayo “Tembo hana madhara sana kwa binadamu ila Mbu…Kila siku watu wanalazwa #Mbunihatarisanakwamaishayako   #Fungenivyandarua.

Screenshot_2017-12-22-17-58-38[1]

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s