Hamissa Mobeto athibitisha kuwa na Mimba nyingine ya Diamond Platnumz.

Mwanadada hamissa Mobeto amethibitisha kuwa na Ujauzito ambao ni wa Diamond Pltnumz. Habari hiyo imethibitishwa kwa sasa na Bosi wa Mwanadada huyo ambaye ni Don Zella, Kupitia ukurasa wake wa snapchat Don Zella amethibitisha kwa kupost maneno ambayo yanadhihirisha kuwa mwanadada huyo ni mjamzito. Kupitia ukurasa wake wa snapchat Don Zella aliandika maneno yafuatayo: “Hamissa you call a low life has mastared the Game. She has never follow up her man but waits until he comes home. You are follow his moves like a Headless chiken. Since you didn’t stop her from conceiving the Lion, wait for the twins coz they are coming.” aHayo ndiyo maneno aliyoandika boss wake huyo kupitia ukurasa wake wa SnapChat akimaanisha “Hamissa unaemwita mtu wa maisha ya chini ameuweza mchezo. Hajawahi kumfuata mwanaume wake lakini anamsubiria mpaka aje nyumbani . Unafuata nyendo zake kama kuku asie na kichwa. Tokea umeshindwa kumsimamisha kutembea na Simba , subiria mapacha kwasababu wanakuja.” Hayo ndiyo maneno ya Don Zella kupitia ukurasa wake wa SnapChat.

 

 

IMG_20171223_091222[1].jpg

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s