Hamissa Mobeto: Siwezi kushindana na Malaya kama Zari.

Baada ya kuisha kwa party za nguvu ambazo zilifanyika nchini Uganda, Party ya kwanza ikiwa na ya Zari all white party ambayo ilifanyika Club Gurvon na iliandaliwa na Zari the boss Lady na ya pili ikiwa ni ya Gal Power iliyofanyika huko huko Kampala katika Club ya Club Play. Hatimaye wote wameanza kutupiana maneno ya kashfa kupitia mitandao yao ya Snapchat.

 

Hamissa Mobeto ametumia ukurasa wake wa SnapChat na kuandika maneno yafuatayo   “I will never intimidated by a Failed porn star everrrr….ps i dont argue with grannies.”  Akiwa anamaanisha kuwa Hata kaa a pumbazwe na Muigizaji wa picha za ngono aliefeli..note kuwa sibishani na wabibi.

 

IMG_20171223_133017[1].jpg

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s