Diamond Platnumz Kuzindua Wasafi Tv na Wasafi Radio

Mwaka 2017 umekuwa ni mwaka wa mafanikio san kwa msanii diamond platnumz. Kuanzia katika kazi zake za muziki ambapo mwaka huu ameweza kufanya kazi nyingi na wasanii wengi zaidi wa nchini marekani lakini pia mwaka huu wa 2017 umekuwa mwaka mzuri kwake katika biashara na shughuli zake mbali mbali ambapo tunakumbuka mwaka huu ameweza kuzindua bidhaa zake za chibu parfume na diamond karanga.

 

Lakini sio hivyo tuu Diamond ameendelea kupata nafasi nyingi zaidi za kimaendeleo baada ya kutaarifu kuwa siku atafungua kituo chake cha television kitachojulikana kama Wasafi Tv pamoja na Wasafi Radio. Diamond amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa twitter kwa kuandika caption ifuatayo  “Wasafi Tv /Wasafi Fm”

 

IMG_20171230_172543[1]

Hiyo ndio picha aliyopost Diamond Platnumz akiashiria ujio wa Wasafi Tv na Wasafi Radio.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s