Hamissa Mobeto athibitisha kuachana na Diamond Platnumz.

Baada ya kuwa na mvutano wa nguvu kati ya mwanadada Hamissa Mobeto pamoja na Hasimu wake Zari the Boss lady wote wakiwa wanamgombani msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na huku pia wote wakiwa ni wazazi wenza wa msanii huyoo, Hatimaye mwanadada Hamissa mobeto amethibitisha kuachana na Habari za msanii Huyo Diamond platnumz kupitia ukurasa wake wa Snapchat.

Hii imetokea wiki kadhaa baada ya Diamond kuanza kumrushia vijembe mwanadada Hamissa Mobeto alipokuwa Nchini South Africa ambapo alikua ameenda kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mwanae wa Pili wa Kiume Prince Nillan.

Kupitia ukurasa wake wa snap chat Hamissa Mobeto alipost maneno yafuatayo “Nataka kuingia mwaka 2018 nikiwa sina tatizo na mtu na ninataka kuyaacha mambo yote ya 2017 kwenye mwaka huu wa 2017″ Lakini pia alipost maneno mengine ambayo yalikua yameandikwa ” Who else is walking into 2018 Single??” Akiwa anamaanisha ni nani anaingia mwaka 2018 akiwa single kama yeye??

 

IMG_20171230_213021[1].jpg

Hayo ndio maneno aliyoandika mwanadada Hamissa Mobetto kupitia ukurasa waje wa Snapchat akithibitisha kuachana na Baba Mtoto wake Diamond Platnumz.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s