Ujumbe wa Masoud Kipanya uliothibitisha kupatikana.

www

 

Baada ya kuwa na tetesi ambazo zilikua hazina udhibitisho kuhusu kupotea kwa ghafla kwa mtangazaji na mchora katuni clouds media group Massoud Kipanya Hatimaye athibitisha kuwa salama.

Masoud Kipanya amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika maneno yafuatayo

” Poleni kwa usumbufu Asanteni kwa kujali hali za wengine , niko salama  alhamdullilah pia aliesambaza taarifa AMESAIDIA. “

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s