Nabii Tito Akamatwa na Polisi Dodoma

Nabii aliyekuwa akijulikana kwa jina la nabii tito kutokea dodoma ambaye alikuwa akihimiza watu katika kanisa lake kutumia pombe na vilevi vingine akidai kuwa ndio biblia inavyodai amekamatwa na polisi Mjini Dodoma hii leo.

Nabii huyo ambaye amekuwa akihubiri maubiri ambayo yapo kinyume na miongozo ya kanisa katoliki huku akiwa ni nabii wa kwanza kuvaa hereni na kushinikiza uzinzi kwa waumini wake amekamatwa na polisi jijini dodoma hii leo kwa kosa la kukiuka kanuni la kuliaibisha kanisa katoliki.

Bonyeza Play video hapo chini kujionea Nabii huyo alivyokamatwa na polisi Mjini Dodoma.

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s