Diamond afunguka kuhusu Video yake na Wema sepetu.

Baada ya kuzagaa kwa Video ya msanii Diamond Platnumz na ex girlfriend wake Wema Sepetu wakiwa ziro distance huku wakitaka kupigana mabusu,Hatimaye Diamond afunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno yafuatayo “Utakuta mtu anakwambia dogo nakukubali sana ila ulichokifanya na Wema sijakipenda kabisa. Sasa wewe unataka niendelee kuwa na bifu na wema la nini..? ” Haya ndio maneno yake Diamond Platnumz kuhusu video hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s