Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi UDSM apotea mazingira yasiyojulikana.

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi Vyuoni  Abdul Nondo ambaye ni Mwanafunzi katika Chuo cha UDSM (University of Dar es salaam) amepotea tokea siku ya jana na kwenda kusipo julikana. Baadhi ya Viongozi wa umoja huo wa wanafunzi walidai kuwa kwenye uda wa saa tano walimaliza kikao ambaho kilifanyika ndani ya chuo chao na mwenyekiti wao huyo akaaga kuwa anaaenda nyumbani kwake madale kwa sababu chuo kilikua kimefungwa kwa muda huo. Aliendelea na kusema kuwa Baada ya Muda kidogo kati ya Saa sita na dakika tano za usiku kiongozi wao huyo ali left ma group yote ya mtandao wa whatsapp magroup yote aliyokuwa amejiunga, Ameendelea na kusema kuwa Baada ya kuona kiongozi wao ameleft magroup yote hayo ilibidi wampigie simu kujua shida ni nini kwani walipatwa na wasiwasi lakini baada ya Kumpigia kiongozi wao huyo hakupokea simu na hali hiyo iliwapa mashaka zaidi kuhusu hali ya kiongozi wao huyo Abdul Nondo. Wamedai kuwa kati ya mda wa saa tisa na nusu usiku mmoja wao alipokea ujumbe wa meseji kupitia mtandao wa Whatsapp kutoka kwa kiongozi huyo ukisema kuwa “I AM AT HIGH RISK” na tokea hapo kiongozi huyo hakupatikana tena hewani mpaka saa.  Jeshi la polisi halijatoa tamko lolote kuhusiana na kupotea huko.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s