Diamond Platnumz atangaza kufunga Ndoa mwaka huu.

Siku ya leo ambayo ni Tar 8 March msanii diamond platnumz alitumia kuandika ujumbe kwenda kwa mama yake mzazi Bi Sandra ikiwa ni kama kumtakia sherehe njema katika sherehe za sikuku ya Wanawake Duniani. Katika ujumbe huo diamond platnumz aliweza kumuomba mama yake samaha kwa makosa anayomkosea lakini pia alimshukuru mama yake kwa kuwa pamoja nae kila hatua na katika kila gumu wanalo pitia. Lakini pia msanii huyo aliweza kumpa ahadiya kufunga ndoa mwaka huu ikiwa kamamoja ya kitu ambacho mama wa msanii huyo anatamani kitokee. Aliandika maneno yafuatayo kuhusu Malengo yake ya kufunga ndoa mwaka huu.

“Inshallah mwenyezi mungu anibariki mwaka huu mwanao nifanikishe ndoa yangu na kukupa furaha ya milele ambayo siku zote umekuwa ukiitaka”. Hayo ndio manenoaliyoandika msanii huyo kwa mama yake mzazi yakiwa kama kithibitisho chakuweza kufunga ndoa mwaka huu.

 

img_20171212_2204451.jpg

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s