Diamond Platnumz atoa heshima yake ya mwisho kwa Marehemu Sam wa Ukweli.

Ikiwa maelfu ya watanzania wapo katika huzuni kubwa baada ya kumpoteza msanii wa Bongo fleva, Sam wa ukweli baadhi ya wasanii nao wametoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Sam wa ukweli na mmoja wao ni Dimaond Platnumz ambae kupitia instagram page yake alionyesha kusikitishwa na kifo cha msanii huyo kwa kuandika maneno yafuatayo, ”MBELE YAKO NYUMA YETU….Inshallah Mwenyez Mungu ailaze roho yako na za wote waliotangulia mahali pema peoponi Amin.” Huo ndio ujumbe alioutuma msanii Diamond platnumz ukiwa kama salam za mwisho kwa marehemu Sam wa Ukweli.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s