Msanii Sam wa ukweli afariki Dunia.

Wapenzi wa muziki wa bongofleva hii leo wapo katika masikitiko mazito baada ya kuweza kumpoteza msanii mashuhuri wa Bongo fleva Sam wa ukweli ambae aliweza kuvuma na kibao chake cha Hata kwetu wapo. Msanii huyo amefariki dunia siku ya leo katika hospitali ya mwananyamala ambapo Taarifa zinadai kuwa alilazwa hospitalini hapo siku kadhaa kabla mauti kumkuta usiku wa leo.

Kwa baadhi ya marafiki zake wanadai kuwa msanii huyo alikuwa akiugua ugonjwa wa UKIMWI ambao ndio umempotezea Uhai wake.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s