Harmonize na Rayvanny Mbioni kuachia Albamu zao.

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmonize amesema kuwa yupo mbioni kuachia albam yake.

 

Muimbaji huyo kutokea wcb ameiambia Bongo 5 kuwa analazimika kutoa Albam kwa sababu ndio utambulisho rasmi wa msanii ndani ya tasnia ya muziki “Nipo ndio nashughulikia albamu yangu lakini nipo kwenye atua za mwisho sana, so muda wowote naweza kutangaza lini itatoka , itakuwa na waanii tofauti tofauti” alisema msanii huyo Harmonize.

 

Lakini vile vile March 20 mwaka huu wakati Rayvanny akihojiwa na BBC Swahili alisema kuwa Albamu yake ipo tayari na itakuwa inahusisha wasaniii wengi kutokea Africa.

Mpaka sasa ni msanii mmoja tu kutokea katika kundi la WCB wasafi ametoa albamu ambaye ni Diamond Platnumz, ambapo march 14, 2018 ndipo alipozinduwa Albamu hiyo ya A boy from tandale Nairobi nchini Kenya.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s