Tessy Chocolate afunguka kuhusu kuachana na Aslay.

Mama mtoto wa msanii Aslay wa Bongo Fleva Tessy Chocolate amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kufa kwa penzi lake na Baba mtoto wake huyo. Tessy amedai kuwa ni kweli hayupo tena kimapenzi na msanii Aslay na kama ni kuolewa na Aslay kama ipo ipo tu.

Vilevile Tessy Chocolate alikataa kuzungumzia kuhusu tetesi za msanii Aslay kutoka kimapenzi na mwanadada Diana Kimario.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s