Diamond Platnumz kusafiri na watanzania 30 kwenda kwenye Birthday ya Princess Tiffa.

Ikiwa mtoto wa msanii Diamond Platnumz Latiffah Naseeb almaharufu kwa jina la Princess Tiffa akiwa anatimiza miaka mitatu tokea azaliwe msanii diamond platnumz ameweza kutangaza nafasi ya bahati kwa watanzania 30 ambao wataenda kusherehekea Birth Day ya mtoto huyo nchini South Africa. Kupiti ukurasa wake wa Instagram msanii Diamond Platnumz ameandika maneno yafuatayo ” Watu 30 wenye bahati nitawalipoia ndege na malazi kwenda kusheherekea na @PRINCESSTIFFA uzaliwa wake South Africa” hayo ndiyo aliyoyaandika msani huyo Diamond Platnumz ikiwa ni siku chache zimebakia kwa mtoto wake wa kwanza Princess tiffah kusheherekea Birth Day yake.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s