Muna love aweka wazi kuhusu Baba halisi wa mtoto wake.

Siku ya leo mama mzazi wa marehemu patrick peter ambaye alifariki wiki iliyopita jijini Nairobi amezugumza na waandishi wa habari na kuweza kutoa majibu kuhusu nani ndio baba halisi wa mtoto wake huyo marehemu Patrick. Muna love amedai kuwa baba halali wa mtoto wake ni Caston Dickson kama alivyosema mwanzo na aliendelea na kudai kuwa Kabla ya yeye kufunga ndoa na Peter alikuwa na mahasiano na Mtangazaju huyo wa Clouds lakini walikuja kuachana huku yeye akiwa tayari ni mja mzito. Muna love amedai kuwa kipindi anafunga ndoa na Peter alikuwa tayari ni mjamzito wa wiki mbili na ujauzito huo ulikuwa ni wa Caston Dickson, ameendelea na kudai kuwa Casto aliukata ujauzito huo ndipo ikambidi na yeye kutokuweka wazi kwa mume wake kuhusu kuwa na ujauzito.

Bonyeza video hapo cini kusikiliza alichokiongea Muna Love.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s