Alichokipost Wema Sepetu baada ya Joketi kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Baada ya mwanadada Jokate Mwagelo kuweza kuchaguliwa na Raisi John Pombe Magufuli kuwa Mkuu wa WIlaya ya Kisarawe Mashabiki walianza kumponda mwanadada Wema Sepetu na kudai kuwa mwadada huyo amechukizwa na hajafurahishwa na kitendo cha Jokate kuchaguliwa kuwa mkuu wa Wilaya, Lakini Wema Sepetu aliamua kuwafunga midomo mashabiki hao na Kupost kupitia account yake ya Instagram Maneno yafuatayo.
“Hongera sana Mh DC wa Kisarawe@jokatemwagelo @jokatemwagelo Dada wa Taifa,,Green inaendelea Jamani.” Hayo ndio maneno aliyoyapost wema sepetu kumpongeza Mwanadada Jokate Mwagelo.

IMG_20180730_083751[1]

ALICHOKIPOST WEMA SEPETU BAADA YA JOKATE MWAGELO KUCHAGULIWA KUWA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s