Kimenuka Upya!! Familia ya Diamond imekataa kuhudhuria Birthday ya Mtoto wa Hamisa.

Wakati Zari na Diamond Platnumz wakiwa katika maandalizi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao Princess Tiffa, upande mwingine familia ya msanii huyo imekata ombi la mwanadada Hamissa Mobetto ambaye ni mzazi mweza wa Diamond Platnumz wa kuhudhuria Birthday ya mtoto wake Prince Dylan ambayo inategemea kufanyika Tar Saba mwezi huu wa nane. Kwa taarifa zilizo tolewa na mtu wa karibu wa Familiya hiyo ya Hamissa Mobetto zinadai kuwa Mwanadada huyo aliwaalika ndugu hao wa Diamond Platnumz waweze kuhudhuria Birthday Party Hiyo lakini Familia Ya Msanii huyo ilitupilia mbali ombi hilo na kuonekana kuwa na Hamu ya kwenda kusherehekea Birth Day ya Princess Tiffa Nchini South Africa. IMG_20180731_162314[1]

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s