Alikiba afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu jokate kuchaguliwa mkuu wa wilaya.

Msanii wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya mpenzi wake wa zamani Jokate mwagelo kuchaguliwa mkuu wa wilaya ya kisarawe. Alikiba amefunguka hayo baada ya kuhojiwa na Millardayo katika harusini ya dada yake Zabibu Kiba. Alikiba amedai kuwa anamuombea Mungu Amsaidie Joketi katika Ukuu wa wilaya wake huo na vile vile pia alikiba maedai amfurahishwa na Mwanadada huyo kupata na fasi hiyo.
Bonyeza video hoyo apo chini uweze kusikiliza interview hiyo ya Alikiba kuhusu Jokate.

https://www.youtube.com/watch?v=Xrr3ejH79AIManeno ya Alikiba baada ya Jokate kuwa Mkuu wa Wilaya.


Usiache kutembelea mwanahabariblog kwa habari mbali mbali kutokea Pande zote za Dunia.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s