Mh Raisi John Pombe Magufuli ampokea waziri wa Maliasili na Utalii Mh Hamis Kigwangalla Dar es salam.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Joseph Pombe Magufuli leo jioni ya tarehe 04 Agost 2018 ameungana na viongozi wa Maliasili na Utalii na wizara ya Afya, maendeleo na Jamii Jinsia na Watoto, kumpokea waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye amesafirishwa na Ndege kutokea Mkoani Arusha ambapo ndipo alipopata Ajali. Mh Hamis Kigwangalla amesafirishwa katika hospitali ya Muimbili akitokea Hospitali ya Selian Jijini Arusha. IMG_20180804_233511[1]

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s