Waziri wa Maliasili na utalii Dk Hamisi Kigwangala amepata ajali.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisa Kigwangalla amepata ajali akitokea Arusha kabla ya Magugu leo Asubuhi.Dk Kigwangalla aliyekuwa akisafiri kutokea Arusha kwenda Dododma amepata ajali leo majira ya saa 12:15 Asubuhi katikakati ya vijiji vya Mdolii na Minjingu Wilaya ya Babati Mkoani Manyari baada ya gari lake kupinduka na kusababisha kifo cha Afisa Habari wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Hamza Temba na wengine watano akiwemo Dr. Kigwangalla kuumia. IMG_20180804_232212[1]

Advertisements