Kocha wa Simba afunguka mazito mechi ya Simba na Yanga.

Kocha Mpya wa simba ameweza kufunguka mazito kuhusu mechi ya simba na wapinzani wao wakubwa Young Africa Sport Club ambayo ilifanyika jana uwanja wa taifa na kumalizika kwa sare ya bila kufungana 0-0. Hatimaye baada ya mechi kumalizika kocha huyo mpya wa Simba sport Club aliweza kufunguka na kudai ya kwamba “Haelewi kwa nini wameshindwa kuifunga timu hiyo ya Yanga”

Bonyeza video hapo chini kujionea alichokiongea Kocha huyo wa Simba FC.

Maneno ya kocha wa Simba baada ya Mechi kuisha kwa sare ya kutokufungana.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s