Mechi ya Simba na Yanga: Jokate amtumia vitisho Haji Manara.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amemtumia salamu za vitisho Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara juu ya pambano la watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga.

DC Jokate ambaye ni shabiki wa kutupwa wa Yanga, amesema kuwa ingawaje Manara ni rafiki yake lakini leo kwa dakika 90 za mchezo watapishana huku akidai kuwa Yanga ni timu ya taifa. “Samahani ndugu yangu Haji, Haji ni rafiki yangu sana lakini lazima tukubali kuwa Yanga ni timu ya Taifa bora kabisa, tumepitia wakati mgumu lakini yatakwisha,“amesema Jokate kwenye mahojiano yake maalumu na Wasafi TV.

Kwa upande mwingine, RC Jokate ameitabiria Yanga kuibuka na ushindi wa goli 3-0 kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuanza saa 11:00 jioni.

41582489_2222725058004249_6413849267649338428_n.jpg

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s