Amber Lulu arudisha Penzi kwa Prezzo.

Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu ameamua kurudisha mapenzi yake kwa Prezzo.

Amber Lulu amesema kuwa amedharaulika na kuteseka sana kwenye mapenzi hivyo hana budi kuendelea kuwa na Prezzo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

“Jaman sijazoea kuangaika na niko hivi nikipenda napenda kweli no matter what !! Sasa mnataka kuona kila siku na Bwana mpya, siwez na nishateseka sana nishadharaulika sana. Ni zaidi ya mateso kwenye mapenzi kukanwa kupigwa nishakuwa kama mtumwa nishapata stress mpaka napoteza nuru. “Nikawa naonekana kama teja kwa huyu hakuna hivyo vitu ananijali anajuwa maana ya upendo ananiheshimu, nyie mnaniona kicheche yeye ananiona qeen Elizabeth na matatizo yangu hajawai hata kunidharau anajuwa thamani yangu kwanini nisirudi kwake niacheni jamani.” Ameandika hayo mwanadada Amber Lulu kuthibitisha ya kuwa ameamua kurudiana na Mpenzi wake kutokea nchini Kenya ambaye waliwahi kukorofishana na penzi na kuamua kuachana kipindi cha nyuma.
Muimbaji huyo ameshawahi kutoka kimapenzi na waimbaji kadhaa wa Bongo Fleva kama Barnaba,Young Dee na Aslay.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s