Hamissa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake mpya.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amerudi tena kwenye headlines hii ni baada ya videos na picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa na mwanaume nchini Marekani ambaye mpaka sasa mwanaume jina lake halijafahamika.

Kutokana na videos na picha hizo wengi walihoji na kudai kuwa ni mpenzi mpya wa Hamisa Mobetto ingawa kwa upande wa Hamisa hakuongea chochote kuhusiana na kile kilichokuwa kikiendelea kwenye mitandao ya kijamii.

Ila leo November 9,2018 Hamisa Mobetto kapost picha akiwa na mwanaume huyo na kuandika caption inayosema “Roho Mkalia Moyo ….💘#MyMirindaNyeusi #MyBiggiey #NaUrefuWanguWoteApaNimekuaMfupi 🙌🏽”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s