RAIS MAGUFULI AKATAA KAMPUNI ZILIZOJITOKEZA KUNUNUA KOROSHO.

Amezikaa kampuni 13 zilizojaribu kupeleka mapendekezo kwa Waziri Mkuu zikitaka kununua Korosho ikiwa ni baada ya kutolewa siku nne kwa Wanunuzi kununua Korosho

Amesema hizo Kampuni baadaye zitakuja kutuchezea kwani zitakuja kutuwekea masharti na kuwachelewesha Wakulima, wamehoji kuwa wamesema watanunua kwa bei elekezi. Je ikipanda?

Asema Korosho zitanunuliwa na Serikali kwa bei ya Tsh. 3300/-. Korosho iliyobanguliwa hapa ndani kwa kilo bei yake ni Tsh. 15,000 hadi Tsh. 25,000

Amuagiza Mkuu wa Majeshi nchini Venace Mabeyo kuagiza Wanajeshi Kulinda kila ghala dogo la Korosho na pia Jeshi lisimamie ulipwaji wa Wakulima waliopeleka Korosho kwenye maghala hayo

Ameagiza kuwa Wakulima hao wakilipwa wasidaiwe chochote kwa kuwa inawezekana walikopa Madawa au pembejeo. Watalipa kwa wakati wao ila sio wakati wanalipwa hapo

Kiwanda cha Buko kilichorudishwa Serikalini juzi kutoka kwa mtu binafsi chenye uwezo wa kubangua Korosho hadi Kilo elfu 20 kwa mwaka kimekabidhiwa kwa JKT.

44279194_332537180866133_5335504371989204736_n

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s