ROSTAM AFICHUA SIRI ZIARA YAKE YA IKULU KWA MAGUFULI.

Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz amefichua siri ya maongezi baina yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuwa alikuja kumpongeza juu ya kazi anayoifanya.

Rostam Aziz ametoa kauli hiyo alipokuwa Ikulu Jijini Dar es salaam alipofika ofisini hapo kwa kwa ajili ya kuzungumza mambo mbalimbali
hususani masuala ya kibiashara.

Akizungumza mbele ya Rais Magufuli Rostam Aziz amesema, “nimekuja kumuona Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi, na kumtakia heri juu ya kazi kubwa anayoifanya na kama mfanyabiashara kinachofanyika hivi sasa ni kutengeneza misingi ya uchumi.” “Anachokifanya sasa hivi Rais Magufuli kiuchumi tunasema anaondoa uchafu, ili pawe na uwanja sawa watu waweze kufanyabiashara zao na hivyo uchumi utaweza kukua,” ameongeza Rostam Aziz.

44365830_996005717266886_105827810539952793_n

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s