Diamond Platnumz achoshwa na Skendo za Ngono.

Msanii w muziki wa kuzaliwa kimya staa Diamond Platnumz ameibuka na kumwaga Povu zito kwa watu wanamuhusisja kimapenzi na kila mwanamke ambaye anaonekna naye hadharani.

Sakata hilo limekuja siku chache Baada ya Diamond na familia yake kuonekana na mrembo mpya anayejulikana Kama Christina nchini Dubai walipoenda for vacation. We

Kwenye mahojiano na Global Publishers? Diamond alianza kwa kusema kuwa amechoshwa na kuhusishwa na kila mwanamke anayeonekana kuwa na mama yake au kuwa naye karibu tu watu wanasema ni mtu wake.

Diamond aliweka wazi msichana huyo wa Kibongo mwenye maskani yake Dubai, alikutana naye kama mwenyeji aliyekuwa akiwatembeza maeneo mbalimbali kama watu wengine ambavyo wanaweza kwenda nje na kupokelewa na marafiki zao.

Mimi na msichana huyo tunafahamiana ameonekana kweli na mama yangu na wamejiachia kwenye picha tofautitofauti lakini ifahamike kuwa alikuwa akitupa kampani tu kama mwenyeji na si mapenzi,” Mimi na msichana huyo tunafahamiana ameonekana kweli na mama yangu na wamejiachia kwenye picha tofautitofauti lakini ifahamike kuwa alikuwa akitupa kampani tu kama mwenyeji na si mapenzi,” Huko niliteketeza fedha nyingi ambazo nisingependa kuzitaja lakini nilifanya kwa ajili ya familia yangu kwani mafanikio niliyonayo ni kwa dua wanazoniombea mama yangu na ndugu zangu pia sikufanya kwa ajili ya mwanamke na nisingekataa kuongozana na mrembo huyo kwani alikuwa kama mwenyeji”. Mrembo huyo alizua gumzo mtandaoni mara Baada ya kuonekana katika picha kadhaa za mjini Dubai akiwa na Mama Diamond na hata Diamond na familia yake.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s