Uraia wa watu waliokuwemo kwenye ndege iliyopata ajali watambuliwa

Addis Ababa Ethiopia, Shirika la ndege la Ethiopia limetaja Raia na Mataifa ya watu waliopata ajali, kwenye ndege ya shirika hilo iliotokea jana asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Ndege la Ethiopia, ndege hiyo iliruka saa 2:38 asubuhi kwa saa za Ethiopia kutokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole na kwamba watu …

Continue reading Uraia wa watu waliokuwemo kwenye ndege iliyopata ajali watambuliwa

Advertisements

Basata wakataza Wasafi festival kufanyika kenya.

Wakati msanii Diamond Platnumz na mwenzake Rayvanny wakiendelea kutumikia adhabu ya kufungiwa kufanya tamasha lolote nchini na kufungiwa kwa Wasafi festival nchini tanzania huku chanzo cha kufungiwa kikiwa ni baada ya kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la Mwanza ambao ulifungiwa na Baraza la sanaa Basata wiki kadhaa zilizopita walipokuwa wakifanya Tamasha la Wasafi festival huko …

Continue reading Basata wakataza Wasafi festival kufanyika kenya.

Diamond Platnumz achoshwa na Skendo za Ngono.

Msanii w muziki wa kuzaliwa kimya staa Diamond Platnumz ameibuka na kumwaga Povu zito kwa watu wanamuhusisja kimapenzi na kila mwanamke ambaye anaonekna naye hadharani. Sakata hilo limekuja siku chache Baada ya Diamond na familia yake kuonekana na mrembo mpya anayejulikana Kama Christina nchini Dubai walipoenda for vacation. We Kwenye mahojiano na Global Publishers? Diamond …

Continue reading Diamond Platnumz achoshwa na Skendo za Ngono.

Nikki wa Pili amuandikia barua Ruge Mutahaba.

Msanii wa muziki wa Hip hop nchini Nickson Simon maarufu kama ‘Nikki wa pili’ amefunguka na kuweka wazi barua aliyomuandikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba. Siku chache zilizopita familia ya Clouds Media iliweka wazi kuwa Ruge yupo hoi hospitalini kutokana na maradhi ambayo yamekuwa yakimuandama kwa kipindi kirefu sasa. Msanii Nikki wa Pili amefunguka …

Continue reading Nikki wa Pili amuandikia barua Ruge Mutahaba.

ROSTAM AFICHUA SIRI ZIARA YAKE YA IKULU KWA MAGUFULI.

Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz amefichua siri ya maongezi baina yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuwa alikuja kumpongeza juu ya kazi anayoifanya. Rostam Aziz ametoa kauli hiyo alipokuwa Ikulu Jijini Dar es salaam alipofika ofisini hapo kwa kwa ajili ya kuzungumza mambo mbalimbali hususani masuala ya kibiashara. …

Continue reading ROSTAM AFICHUA SIRI ZIARA YAKE YA IKULU KWA MAGUFULI.

WIMBO MPYA WA RAYVANNY NA DIAMOND PLATNUMZ – MWANZA WAFUNGIWA

Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) limetangaza kuufungia wimbo mpya wa Mwanza kwa maelezo kuwa unahamasisha masuala yasiyokubalika katika jamii - Katibu Mtendaji BASATA, Godfrey Mngereza amesema leo Novemba 12 kuwa wameufungia wimbo huo na kupiga marufuku kuchezwa mahali popote - Ameongeza kuwa wanawasiliana na mamlaka nyingine ili kuchukua hatua zaidi kwa kuwa tayari wimbo umeenea mitandaoni …

Continue reading WIMBO MPYA WA RAYVANNY NA DIAMOND PLATNUMZ – MWANZA WAFUNGIWA

RAIS MAGUFULI AKATAA KAMPUNI ZILIZOJITOKEZA KUNUNUA KOROSHO.

Amezikaa kampuni 13 zilizojaribu kupeleka mapendekezo kwa Waziri Mkuu zikitaka kununua Korosho ikiwa ni baada ya kutolewa siku nne kwa Wanunuzi kununua Korosho - Amesema hizo Kampuni baadaye zitakuja kutuchezea kwani zitakuja kutuwekea masharti na kuwachelewesha Wakulima, wamehoji kuwa wamesema watanunua kwa bei elekezi. Je ikipanda? - Asema Korosho zitanunuliwa na Serikali kwa bei ya …

Continue reading RAIS MAGUFULI AKATAA KAMPUNI ZILIZOJITOKEZA KUNUNUA KOROSHO.

Hamissa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake mpya.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amerudi tena kwenye headlines hii ni baada ya videos na picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa na mwanaume nchini Marekani ambaye mpaka sasa mwanaume jina lake halijafahamika. Kutokana na videos na picha hizo wengi walihoji na kudai kuwa ni mpenzi mpya wa Hamisa Mobetto ingawa kwa upande wa Hamisa hakuongea …

Continue reading Hamissa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake mpya.

Amber Lulu arudisha Penzi kwa Prezzo.

Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu ameamua kurudisha mapenzi yake kwa Prezzo. Amber Lulu amesema kuwa amedharaulika na kuteseka sana kwenye mapenzi hivyo hana budi kuendelea kuwa na Prezzo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; "Jaman sijazoea kuangaika na niko hivi nikipenda napenda kweli no matter what !! Sasa mnataka kuona kila siku na Bwana …

Continue reading Amber Lulu arudisha Penzi kwa Prezzo.

Mhadhiri Chuo kikuu Uganda amtaka Museveni Afike Mahakamani.

MHADHIRI katika idara ya utafiti ya Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, Dr Stella Nyanzi, ameitaka mahakama ya Buganda Road Court kumwita Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kuhusiana na madai kwamba mhadhiri huyo alimdhalilisha (Museveni) kwa kumtukania mama yake marehemu katika mtandao wa Facebook. Dr Nyanzi anayekabiliwa na mashitaka ya matumizi ya lugha mbaya katika mawasiliano, …

Continue reading Mhadhiri Chuo kikuu Uganda amtaka Museveni Afike Mahakamani.