Uraia wa watu waliokuwemo kwenye ndege iliyopata ajali watambuliwa

Addis Ababa Ethiopia, Shirika la ndege la Ethiopia limetaja Raia na Mataifa ya watu waliopata ajali, kwenye ndege ya shirika hilo iliotokea jana asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Ndege la Ethiopia, ndege hiyo iliruka saa 2:38 asubuhi kwa saa za Ethiopia kutokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole na kwamba watu …

Continue reading Uraia wa watu waliokuwemo kwenye ndege iliyopata ajali watambuliwa

Advertisements

ROSTAM AFICHUA SIRI ZIARA YAKE YA IKULU KWA MAGUFULI.

Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz amefichua siri ya maongezi baina yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuwa alikuja kumpongeza juu ya kazi anayoifanya. Rostam Aziz ametoa kauli hiyo alipokuwa Ikulu Jijini Dar es salaam alipofika ofisini hapo kwa kwa ajili ya kuzungumza mambo mbalimbali hususani masuala ya kibiashara. …

Continue reading ROSTAM AFICHUA SIRI ZIARA YAKE YA IKULU KWA MAGUFULI.

WIMBO MPYA WA RAYVANNY NA DIAMOND PLATNUMZ – MWANZA WAFUNGIWA

Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) limetangaza kuufungia wimbo mpya wa Mwanza kwa maelezo kuwa unahamasisha masuala yasiyokubalika katika jamii - Katibu Mtendaji BASATA, Godfrey Mngereza amesema leo Novemba 12 kuwa wameufungia wimbo huo na kupiga marufuku kuchezwa mahali popote - Ameongeza kuwa wanawasiliana na mamlaka nyingine ili kuchukua hatua zaidi kwa kuwa tayari wimbo umeenea mitandaoni …

Continue reading WIMBO MPYA WA RAYVANNY NA DIAMOND PLATNUMZ – MWANZA WAFUNGIWA

RAIS MAGUFULI AKATAA KAMPUNI ZILIZOJITOKEZA KUNUNUA KOROSHO.

Amezikaa kampuni 13 zilizojaribu kupeleka mapendekezo kwa Waziri Mkuu zikitaka kununua Korosho ikiwa ni baada ya kutolewa siku nne kwa Wanunuzi kununua Korosho - Amesema hizo Kampuni baadaye zitakuja kutuchezea kwani zitakuja kutuwekea masharti na kuwachelewesha Wakulima, wamehoji kuwa wamesema watanunua kwa bei elekezi. Je ikipanda? - Asema Korosho zitanunuliwa na Serikali kwa bei ya …

Continue reading RAIS MAGUFULI AKATAA KAMPUNI ZILIZOJITOKEZA KUNUNUA KOROSHO.

Mhadhiri Chuo kikuu Uganda amtaka Museveni Afike Mahakamani.

MHADHIRI katika idara ya utafiti ya Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, Dr Stella Nyanzi, ameitaka mahakama ya Buganda Road Court kumwita Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kuhusiana na madai kwamba mhadhiri huyo alimdhalilisha (Museveni) kwa kumtukania mama yake marehemu katika mtandao wa Facebook. Dr Nyanzi anayekabiliwa na mashitaka ya matumizi ya lugha mbaya katika mawasiliano, …

Continue reading Mhadhiri Chuo kikuu Uganda amtaka Museveni Afike Mahakamani.

WCB yatoa tamko lingine kuhusu Hawa wa Nitarejea.

Meneja wa Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ amesema msanii Hawa Said ambaye yupo nchini India kimatibabu, anayo nafasi ya kujiunga na kundi lao la Wasafi Classic Baby (WCB) endapo atapenda kufanya hivyo Mungu akimjalia kurudi salama nchini. Akizungumza na Risasi Jumamosi jana, Babu Tale alisema kwa sasa hali …

Continue reading WCB yatoa tamko lingine kuhusu Hawa wa Nitarejea.

Ukweli kuhusu Wema Sepetu kuibiwa mamilioni na Future Husband wake.

Muigizaji Wema Issac Sepetu ameendelea kukumbwa na balaa kila kukicha ikiwa ni baada ya kudai kuwa ameibiwa mamilioni ya pesa na Mwanaume aliyemtambulisha katika mtandao wa kijami wa Instagram kwa kudai ya kuwa alikuwa ndiye future husband wake. Siku chache zilizopita mwanadada huyo aliweza kumtambulisha Mwanaume huyo kwa kutumia mtandao wa kijamii wa instagram na …

Continue reading Ukweli kuhusu Wema Sepetu kuibiwa mamilioni na Future Husband wake.

Vera Sidika aanika sababu nzito za kuachana Otile Brown, Aibua mazito.

Baada ya kuvunjika kwa penzi la mastaa wawili kutokea nchini kenya Vera Sidika na Mwanamuziki Otile Brown, ambapo mwanadada huyo aliweka wazi kuvunjika kwa penzi hilo kupitia intagram page yake kwa kudai ya kuwa ameachana na Staa huyo huku akiwa na ujauzito. Hatimaye baada ya masaa kadhaa kupita Mwanadada huyo amefichua siri nzito kuhusu ex …

Continue reading Vera Sidika aanika sababu nzito za kuachana Otile Brown, Aibua mazito.

Amber Lulu anusurika kufa baada ya kupata ajali mbaya.

Msanii wa Bongo Fleva na video vixen, Amber Lulu amenusurika kwenye ajali ya gari. Hitmaker huyo wa ngoma Jini Kisirani amepata ajali akiwa anaelekea kwenye birthday producer Mesen Selekta. "Wiki hii imekuwa ina misuko sukosana kwangu na Shukuru Mungu kwa yote ilikuwa siku ya jana saa 7 usiku tulikuwa tukielekea kwenye birthday ya Messen tulipata …

Continue reading Amber Lulu anusurika kufa baada ya kupata ajali mbaya.

HATIMAE: BASATA yatoa waraka kuhusu Amber Rutty.

Hatimaye Baraza la Sanaa Tanzania {BASATA} limetoa tamko kuhusu video chafu ya Msanii wa Bongo Fleva anayejulikana kwa Jina la Amber Rutty. Siku chache zilizopita ilisambaa video katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha mwadada huyo akiwa kitandani na wanaume watatu huku akiwa ameshika condom mkononi, Video hiyo iliyozuwa tafrani na sintofahamu kwa mashabiki wa Bongo Fleva …

Continue reading HATIMAE: BASATA yatoa waraka kuhusu Amber Rutty.