Baba mzazi wa Profesa Jay Afariki Dunia.

Baba mzazi wa msanii na Mbunge wa mikumi Profesa Jay amefariki dunia hii leo hospitalini huko mikumi ambapo alikuwa akipatiwa matibabu. Kifo hicho kimeweza kuthibitishwa na mbunge huyo profesa Jay ambapo amedai yakuwa baba yake mzazi alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya presha na ndio ugonjwa ulio muondoa duniani. https://www.youtube.com/watch?v=cVQwlyzIgagManeno ya Prof Jay baada ya Baba …

Continue reading Baba mzazi wa Profesa Jay Afariki Dunia.

Waziri wa Maliasili na utalii Dk Hamisi Kigwangala amepata ajali.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisa Kigwangalla amepata ajali akitokea Arusha kabla ya Magugu leo Asubuhi.Dk Kigwangalla aliyekuwa akisafiri kutokea Arusha kwenda Dododma amepata ajali leo majira ya saa 12:15 Asubuhi katikakati ya vijiji vya Mdolii na Minjingu Wilaya ya Babati Mkoani Manyari baada ya gari lake kupinduka na kusababisha kifo cha Afisa Habari …

Continue reading Waziri wa Maliasili na utalii Dk Hamisi Kigwangala amepata ajali.

Mh Raisi John Pombe Magufuli ampokea waziri wa Maliasili na Utalii Mh Hamis Kigwangalla Dar es salam.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Joseph Pombe Magufuli leo jioni ya tarehe 04 Agost 2018 ameungana na viongozi wa Maliasili na Utalii na wizara ya Afya, maendeleo na Jamii Jinsia na Watoto, kumpokea waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye amesafirishwa na Ndege kutokea Mkoani Arusha ambapo ndipo alipopata …

Continue reading Mh Raisi John Pombe Magufuli ampokea waziri wa Maliasili na Utalii Mh Hamis Kigwangalla Dar es salam.

Rais Magufuli alivyomuapisha David Kafulila kuwa Katibu Tawala mpya Songwe

Siku ya leo Mh Raisi John Pombe Magufuli ameweza kuwaapisha baadhi ya viongozi alioweza kuwateuwa wiki iliyopita na kati ya watu walioapishwa mmoja wapo ni David Kafulila ambaye aliteuliwa kuwa Katibu tawala mpya Songwe. Bonyeza video hiyo hapo chini kujionea Raisi JPM alivyomuapisha Kiongozi huyo. https://www.youtube.com/watch?v=9XjxbsQIi6U

Alikiba afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu jokate kuchaguliwa mkuu wa wilaya.

Msanii wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya mpenzi wake wa zamani Jokate mwagelo kuchaguliwa mkuu wa wilaya ya kisarawe. Alikiba amefunguka hayo baada ya kuhojiwa na Millardayo katika harusini ya dada yake Zabibu Kiba. Alikiba amedai kuwa anamuombea Mungu Amsaidie Joketi katika Ukuu wa wilaya wake huo na …

Continue reading Alikiba afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu jokate kuchaguliwa mkuu wa wilaya.

Kimenuka Upya!! Familia ya Diamond imekataa kuhudhuria Birthday ya Mtoto wa Hamisa.

Wakati Zari na Diamond Platnumz wakiwa katika maandalizi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao Princess Tiffa, upande mwingine familia ya msanii huyo imekata ombi la mwanadada Hamissa Mobetto ambaye ni mzazi mweza wa Diamond Platnumz wa kuhudhuria Birthday ya mtoto wake Prince Dylan ambayo inategemea kufanyika Tar Saba mwezi huu wa nane. Kwa …

Continue reading Kimenuka Upya!! Familia ya Diamond imekataa kuhudhuria Birthday ya Mtoto wa Hamisa.

Alichokipost Wema Sepetu baada ya Joketi kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Baada ya mwanadada Jokate Mwagelo kuweza kuchaguliwa na Raisi John Pombe Magufuli kuwa Mkuu wa WIlaya ya Kisarawe Mashabiki walianza kumponda mwanadada Wema Sepetu na kudai kuwa mwadada huyo amechukizwa na hajafurahishwa na kitendo cha Jokate kuchaguliwa kuwa mkuu wa Wilaya, Lakini Wema Sepetu aliamua kuwafunga midomo mashabiki hao na Kupost kupitia account yake ya …

Continue reading Alichokipost Wema Sepetu baada ya Joketi kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.