Diamond Platnumz achoshwa na Skendo za Ngono.

Msanii w muziki wa kuzaliwa kimya staa Diamond Platnumz ameibuka na kumwaga Povu zito kwa watu wanamuhusisja kimapenzi na kila mwanamke ambaye anaonekna naye hadharani. Sakata hilo limekuja siku chache Baada ya Diamond na familia yake kuonekana na mrembo mpya anayejulikana Kama Christina nchini Dubai walipoenda for vacation. We Kwenye mahojiano na Global Publishers? Diamond …

Continue reading Diamond Platnumz achoshwa na Skendo za Ngono.

Advertisements

Nikki wa Pili amuandikia barua Ruge Mutahaba.

Msanii wa muziki wa Hip hop nchini Nickson Simon maarufu kama ‘Nikki wa pili’ amefunguka na kuweka wazi barua aliyomuandikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba. Siku chache zilizopita familia ya Clouds Media iliweka wazi kuwa Ruge yupo hoi hospitalini kutokana na maradhi ambayo yamekuwa yakimuandama kwa kipindi kirefu sasa. Msanii Nikki wa Pili amefunguka …

Continue reading Nikki wa Pili amuandikia barua Ruge Mutahaba.

Hamissa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake mpya.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amerudi tena kwenye headlines hii ni baada ya videos na picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa na mwanaume nchini Marekani ambaye mpaka sasa mwanaume jina lake halijafahamika. Kutokana na videos na picha hizo wengi walihoji na kudai kuwa ni mpenzi mpya wa Hamisa Mobetto ingawa kwa upande wa Hamisa hakuongea …

Continue reading Hamissa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake mpya.

Amber Lulu arudisha Penzi kwa Prezzo.

Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu ameamua kurudisha mapenzi yake kwa Prezzo. Amber Lulu amesema kuwa amedharaulika na kuteseka sana kwenye mapenzi hivyo hana budi kuendelea kuwa na Prezzo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; "Jaman sijazoea kuangaika na niko hivi nikipenda napenda kweli no matter what !! Sasa mnataka kuona kila siku na Bwana …

Continue reading Amber Lulu arudisha Penzi kwa Prezzo.

WCB yatoa tamko lingine kuhusu Hawa wa Nitarejea.

Meneja wa Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ amesema msanii Hawa Said ambaye yupo nchini India kimatibabu, anayo nafasi ya kujiunga na kundi lao la Wasafi Classic Baby (WCB) endapo atapenda kufanya hivyo Mungu akimjalia kurudi salama nchini. Akizungumza na Risasi Jumamosi jana, Babu Tale alisema kwa sasa hali …

Continue reading WCB yatoa tamko lingine kuhusu Hawa wa Nitarejea.

Ukweli kuhusu Wema Sepetu kuibiwa mamilioni na Future Husband wake.

Muigizaji Wema Issac Sepetu ameendelea kukumbwa na balaa kila kukicha ikiwa ni baada ya kudai kuwa ameibiwa mamilioni ya pesa na Mwanaume aliyemtambulisha katika mtandao wa kijami wa Instagram kwa kudai ya kuwa alikuwa ndiye future husband wake. Siku chache zilizopita mwanadada huyo aliweza kumtambulisha Mwanaume huyo kwa kutumia mtandao wa kijamii wa instagram na …

Continue reading Ukweli kuhusu Wema Sepetu kuibiwa mamilioni na Future Husband wake.

Zijue sifa za wanawake wanaopenda pesa{wachunaji}.

Hongereni wanawake tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje. Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada. Siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la mamilioni ya wanawake wanaopenda Sana pesa kuliko kitu chochote. Jambo hili lilianza Kama mzaha lakini kwa sasa hakuna wakuuzima moto huu. Kupenda …

Continue reading Zijue sifa za wanawake wanaopenda pesa{wachunaji}.

Lady Jaydee afunguka kuachana na Spice.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye ni mkongwe kwenye game na wengi hupenda kumuita dada wa bongo fleva, Lady Jaydee, kwa amefunguka juu ya tuhuma za kuachana na mpenzi wake Spice, ambaye ni msanii kutoka Nigeria Spice. Akizungumza na mwandishi wa EATV, Lady Jaydee amesema kwamba hajaachana na Spice, isipokuwa wawili hao wanafanya kazi …

Continue reading Lady Jaydee afunguka kuachana na Spice.

MIKASA:Mapacha Wawili watekwa saa moja kabla ya Harusi yao.

Wasichana wawili mapacha waliokuwa wanasubiri kufunga ndoa siku moja wametekwa Kusini-Magharibi mwa jimbo la Zamfara nchini Nigeria. Makamu Mwenyekiti wa eneo hilo, Abubakar Muhammad amekaririwa na BBC akieleza kuwa mapacha hao Hassan na Hussaina Bala Dauran, walikuwa miongoni mwa watu saba waliotekwa wikendi iliyopita katika mji wa Dauran. “Watu saba, ambao ni wanaume wanne na …

Continue reading MIKASA:Mapacha Wawili watekwa saa moja kabla ya Harusi yao.