Raisi Mgufuli ametoa onyo kuhusu maandamano.

Raisi John Pombe Magufuli ametoa onyo kwa watu waliopanga kuandamana tar 26/4 na kudai kuwa kama wamepanga kuandamana inabidi waache maramoja maana yeye hataniwagi.  Magufuli amesema hayo katika hotuba yake hii leo akiwa Mkoani Chato katika uzinduzi wa benki ya CRDB.   Bonyeza Video hapo kusikiliza hotuba hiyo ya Raisi Magufuli katika ufunguzi wa Benki …

Continue reading Raisi Mgufuli ametoa onyo kuhusu maandamano.

Mwanafunzi aliyetekwa apatikana.

Mwanafunzi Abdul Nondo ambae ni mkuu wa wanafunzi vyuoni ambaye aliripotiwa kupotea kwa siku ya jana na kupotelea pasipojulikana Amepatikana. Mwanafunzi huyo wa chuo cha UDSM ambae alipotea usiku wa kuamkia jana mida ya saa tisa usiku amepatikana Maeneo ya Mafinga Mkoani Iringa akiwa ametupwa pembezoni mwa bara bara huku akiwa hajitambui. Kamanda wa poisi …

Continue reading Mwanafunzi aliyetekwa apatikana.

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi UDSM apotea mazingira yasiyojulikana.

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi Vyuoni  Abdul Nondo ambaye ni Mwanafunzi katika Chuo cha UDSM (University of Dar es salaam) amepotea tokea siku ya jana na kwenda kusipo julikana. Baadhi ya Viongozi wa umoja huo wa wanafunzi walidai kuwa kwenye uda wa saa tano walimaliza kikao ambaho kilifanyika ndani ya chuo chao na mwenyekiti wao …

Continue reading Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi UDSM apotea mazingira yasiyojulikana.

Alichosema Godbless Lema baada ya Lowassa kutinga ikulu na Kumsifia Raisi Magufuli.

Baada ya Waziri Mstaafu Mh Edward Lowassa kuweza kuwasili ikulu hii leo na Kufanya mazungumzo na Raisi Wa Tanzania kwa awamu ya Tano Mh Dk John Pombe Magufuli na kisha kummwagia sifa kuwa anafanya vizuri katika uongozi wake. Hichi Ndicho alichoandika Mh Godbless Lema ambaye ni Mbunge wa CHADEMA.   Bonyeza Video Hapo Chini kusikia …

Continue reading Alichosema Godbless Lema baada ya Lowassa kutinga ikulu na Kumsifia Raisi Magufuli.

Mh Edward Lowassa atinga live ikulu kuzungumza na Raisi Magufuli

Waziri mstaafu ambaye pia alikua mgombe Uraisi mwaka 2015 kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mh Edward Lowassa amewasili ikulu hii leo na kuweza kuzungumza na Raisi John Pombe Magufuli.   Video ya Lowassa alivyowasili Ikulu na Kufanya Kikao na Raisi John Pombe Magufuli hii leo .      Bonyeza Play hapo …

Continue reading Mh Edward Lowassa atinga live ikulu kuzungumza na Raisi Magufuli

Ujumbe wa Masoud Kipanya uliothibitisha kupatikana.

  Baada ya kuwa na tetesi ambazo zilikua hazina udhibitisho kuhusu kupotea kwa ghafla kwa mtangazaji na mchora katuni clouds media group Massoud Kipanya Hatimaye athibitisha kuwa salama. Masoud Kipanya amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika maneno yafuatayo " Poleni kwa usumbufu Asanteni kwa kujali hali za wengine , niko salama  alhamdullilah …

Continue reading Ujumbe wa Masoud Kipanya uliothibitisha kupatikana.

Hii Ndio Sababu ya Wema Sepetu kuhamia CCM.

Hii leo siku ya Tar 1.12. 2016 mwanadada Wema Sepetu amekihama rasmi chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) na kurudi katika chama cha Mapinduzi ccm. Uamuzi huo ambao umefanyika leo na Mwanadada wema sepetu umekuwa na gumzo kubwa nyuma yake huku sababu kadha zikihusishwa na yeye kuhama na kurudi CCM. Siku chache zilizoweza kupita rafiki …

Continue reading Hii Ndio Sababu ya Wema Sepetu kuhamia CCM.