Tyga na Chriss Brown waingia studio pamoja.

Ikiwa ni mda mrefu wa takribani miaka mitatu tokea wakali wa kutokea marekani Chriss Brown pamoja na rafiki ake Tyga kuweza kusikika katika ngoma ya Pamoja, hatimaye wawili hao waingia tena studio kurekodi nyimbo mpya. Wawili hao ambao wamekuwa wakipata mafanikio makubwa kwenye nyimbo zao wameingia studio na producer letrituncq ambapo kupitia ukurasa wake wa …

Continue reading Tyga na Chriss Brown waingia studio pamoja.

Advertisements

RC Paul Makonda atoa suluhisho tatizo la mwendokasi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda ametoa suluhisho kuhusiana na mradi wa mabasi ya mwondo kasi ambayo yamekuwa yakisua sua katika kutoa huduma zake. Kwa siku ya jana baadhi ya wananchi waleweza kuzua hali ya taharuki baada ya mabasi hayo kutokutoa hudua kitendo ambacho kilisababisha wananchi kuchelewa makazini. Na kwa siku …

Continue reading RC Paul Makonda atoa suluhisho tatizo la mwendokasi.

Mo Dewji atekwa na watu wasijulikana.

Mfanya biashara maharufu na Mbunge mstaafu wa Singida mjini Mohamed Dewji ambaye vile vile ni Muanzilishi wa Mo dewji foundation na Raisi wa Kampuni ya MELT ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo ambapo alikua akielekea kufanya mazoezi katika GYM ya Collesium gym iliyopo jijini Dar es salaam. Baadhi ya mashuuda wa tukio hilo wamedai …

Continue reading Mo Dewji atekwa na watu wasijulikana.

Baba Diamond afunguka mazito.

Baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva Naseeb Adbul amefunguka mazito baada ya Mwanae huyo kusherehekea siku yake ya kuzaliwa bila kumwalika katika sherehe iyo. Mzee huyo anayefahamika kwa jina la Abdul amefunguka na kudai kuwa mwanae Diamond Platnumz hakumwalika katika shere iyo ya kusherehekea kuzaliwa kwake labda kwa sababu alikuwa amejisahau. Alienda mbali na …

Continue reading Baba Diamond afunguka mazito.

Jionee jinsi Chid Benzi alivyovamia birthday ya Diamond na Kupiga show ya balaa.

Msanii wa miondoko ya hip hop katika tasni ya Bongo fleva ambye aliwahi kuvuma sana kwa kipindi cha nyuma na nyimbo zake kama Raha za Mapenzi, mpaka kuche na nyingene nyingi Rashid Abdallah Makwiro a.k.a Chid Benzi kwa siku ya jana alivamia katika viwanja vya tandale maguniani ambapo kulikua kunafanyikia sherehe ya kuadhimisha siku ya …

Continue reading Jionee jinsi Chid Benzi alivyovamia birthday ya Diamond na Kupiga show ya balaa.

Otile Brown atibitisha kurudiana na Vera Sidika.

Socialite maarufu kutoka Kenya Vera Sidika ‘Queen Vee’ na mpenzi wake Msanii wa muziki Otile Brown wamethibitisha kkurudiana baada ya kuachana mapema mwezi jana. Vera na Otile walikuwa Kwenye Mahusiano kwa Miezi michache lakini walianika Penzi lao Kwenye mitandao ya kijamii kwa sana na hata Vera kuwa video queen Kwenye moja ya video za nyimbo …

Continue reading Otile Brown atibitisha kurudiana na Vera Sidika.

Mpenzi wa Rich Mavoko afunguka siri nzito kuhusu Bifu kati ya Diamond na Rich Mavoko.

Mwanadada Lulu diva amefunguka alipokuwa akiongea na bongo 5 na kukanusha taarifa kuwa kumekuwa na ugoimvi kati ya rich mavoko na Diamond Platinumz na kusababisha Rich Mavoko kushindwa kuendelea kufanya kazi na WCB. Lulu diva anasema kuwa pamoja na hayo yote , hajui kama kuna ugomvi kati ya Diamond na Rich ila kama wameshindwa tu …

Continue reading Mpenzi wa Rich Mavoko afunguka siri nzito kuhusu Bifu kati ya Diamond na Rich Mavoko.

Imevuja: Video ya Diamond na Tunda wakikatika mauno live.

Baada ya Video queen Tunda the boss bebe kukiri ya kuwa ameshaachana na mpenzi wake Casto Dickson ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv na Clouds Fm mrembo huyo amefumwa live akiwa na msanii Diamond Platnumz wakikata mauno na hiyo ni siku chache baada ya kuachana na Mpenzi wake huyo Casto Dickson. Video hiyo apo chini …

Continue reading Imevuja: Video ya Diamond na Tunda wakikatika mauno live.

Nilipoanza mapenzi na Diamond Platnumz alikuwa hana pesa wala mwili alionao leo.

Kwenye mahojiano aliyofanya siku ya jana kwenye Chipukeezy Show nchini Kenya, Hamisa aliulizwa alivutiwa nini hasa kwa Diamond kama ilikuwa ni Sura, Mwili wake, Pesa au umaarufu? Hamisa alifunguka: Siwezi kusema kiukweli kipi kilichonivutia kwa Diamond kwa sababu mimi na yeye tulipokutana kwa mara ya kwanza hakuwa na hivyo vitu vyote unavyovitaji yaani hakuwa na …

Continue reading Nilipoanza mapenzi na Diamond Platnumz alikuwa hana pesa wala mwili alionao leo.