Kocha wa Simba afunguka mazito mechi ya Simba na Yanga.

Kocha Mpya wa simba ameweza kufunguka mazito kuhusu mechi ya simba na wapinzani wao wakubwa Young Africa Sport Club ambayo ilifanyika jana uwanja wa taifa na kumalizika kwa sare ya bila kufungana 0-0. Hatimaye baada ya mechi kumalizika kocha huyo mpya wa Simba sport Club aliweza kufunguka na kudai ya kwamba "Haelewi kwa nini wameshindwa …

Continue reading Kocha wa Simba afunguka mazito mechi ya Simba na Yanga.

Advertisements

Mechi ya Simba na Yanga: Jokate amtumia vitisho Haji Manara.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amemtumia salamu za vitisho Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara juu ya pambano la watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga. DC Jokate ambaye ni shabiki wa kutupwa wa Yanga, amesema kuwa ingawaje Manara ni rafiki yake lakini leo kwa dakika 90 za mchezo watapishana …

Continue reading Mechi ya Simba na Yanga: Jokate amtumia vitisho Haji Manara.