Diamond afunguka kuhusu Video yake na Wema sepetu.

Baada ya kuzagaa kwa Video ya msanii Diamond Platnumz na ex girlfriend wake Wema Sepetu wakiwa ziro distance huku wakitaka kupigana mabusu,Hatimaye Diamond afunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno yafuatayo "Utakuta mtu anakwambia dogo nakukubali sana ila ulichokifanya na Wema sijakipenda kabisa. Sasa wewe unataka niendelee kuwa na bifu na wema la …

Continue reading Diamond afunguka kuhusu Video yake na Wema sepetu.

Advertisements

Zari Kuchuana na Hamisa Mobeto Live kwenye Zari all white party day.

Mahasimu wa muda mrefu ambao pia ni watu maarufu east africa na africa kwa ujumla nawaongelea Zari Hassan pamoja na Hamissa Mobeto watachuana vikali siku ya Zari all white party. Kwa Upande wa hamisa ameweza kupata dili la kuwa Host katika party inayojulikana Kama Gal power party itakayofanyika club Play huko Nchini Uganda.   Katika …

Continue reading Zari Kuchuana na Hamisa Mobeto Live kwenye Zari all white party day.

Faiza Ally azungumzia picha zake za utupu akijifungua.

Baada ya kuenea kwa picha ambozo zilikua zikimuonyesha mwanadada Faiza Ally akiwa Labor (chumba cha kujifungulia ) ambazo picha hizo zilisambazwa na faiza ally mwenyewe Hatimaye amejitokeza na kuongelea kuhusu Picha hizo. Faiza Ally ambaye aliweza kuhojiwa na kituo cha habari alidai kuwa Yeye haoni kama kuna tatizo la kupiga picha ukiwa unajifungua na kuzipost …

Continue reading Faiza Ally azungumzia picha zake za utupu akijifungua.

Kauli ya Humphrey Pole Pole kwa Wema Sepetu

Baada ya wanadada wema sepetu kukihama chama cha mapinduzi na kuhami Chadema, Kada wa Chama hicho cha Mapinduzi Mh Humphrey Pole Pole amefunguka baadhi ya maneno kupitia ukurasa wake wa Instagram huku maneno hayo yakionekana kama kashfa kwa Wema Sepetu. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Pole Pole ameandika maneno yafuatayo Nimesikia habari mitandaoni napenda kuweka …

Continue reading Kauli ya Humphrey Pole Pole kwa Wema Sepetu

Hatimaye Dk Shika kununua Nyumba za Lugumi.

Baada ya kupata umaarufu kupitia Mnada wa Nyumba a mfanya biashara Lugumi na Baadae kushindwa kuweza kulipa kiasi cha asilimia ishirini na tano Baada ya kudai kuwa Pesa zake zipo njee ya nchi hatimaye Dk Shika afunguka tena. Baada ya nyumba hizo kufanyiwa mnada mwingine Jana na nyumba hizo kukosa mteja Dk shika amedai kuwa …

Continue reading Hatimaye Dk Shika kununua Nyumba za Lugumi.